Sunday, June 3, 2012

MAISHA YA SHULE!

Maisha ya shule ni mazuri sana kwani hujenga mtu kuwa na maalifa na uelewa wa mambo katika dunia!, vilevile hujenga mtu kuweza kuishi na watu wa kila aina na kupata ufahamu wa mambo yanayojili! kwa hyo ewe mtanzania, shule ni muhimu kwa maisha yako ya sasa na ya baadae.Elimu ni muhimu kwa maisha ya mtanzania!.

MAISHA YA MTANZANIA!

mtanzania wa sasa anapata tabu kuliko mtanzania aliyekuwa akiishi miaka ya nyuma, sababu  ni hali ya kiuchumi kushuka kwa kasi!. mpaka inawapelekea kukosa kipato cha kuweza kujikimu kimaisha. je hali hii inaweza kutafutiwa ufumbuzi?. hlo ni swali kwa watanzania wote kwa ujumla!