Monday, August 20, 2012

utata kuhusu matokeo ya kuchaguliwa kwa wanafunzi katika vyuo mbalimbali.imekuwa ni kama wimbo kwa wanafunzi, kuhusu hatma yao ya kujiunga na elimu ya chuo kikuu! kwan matokeo yamekuwa yakicheleweshwa kiasi cha kuvuja kwa matokeo ya baadhi ya vyuo, kama udsm,udom na vingine vingi.

No comments:

Post a Comment